INAUZWA Cherehani zinauzwa

Ossy167

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
18
Reaction score
9
Habari ndugu zangu ninauza , Nilitaka kuanza project Ila imeshindikana .
Overlock machine -laki tisa
Sewing machine - laki nane
Button lock machine - million mbili
Button machine - million mbili

Piga 0748373230 ninapatikana Mbezibeach Dar Es Salaam









 
Kuna laki 4 kwa overlock hapa
 
H Hello,hiyo overlock inaweza kufanya kazi kwenye material nzito kama sweta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…