FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
nampenda megan fox
sikonge umenichekesha sana ndo maana nikauliza ni vigezo gani vinatumikaMbona Kim Kardashian hayumo? Wanaopanga hii list ni Mashoga wa kikweli maana wanachagua wanawake wanaoonekana kwa mbali kama Wanaume. Kutoka juu hadi chini KANYOOKA. Hamna umbo nane hata sehemu moja, WTF?!!
Hata ukipewa vigezo unaweza usivikubali, si unajua anayeonekana sexy kwa A anaweza asionekane hivyo kwa B? Wewe mkubali tu Cheryl Cole kama the sexiest womanin in the World hatakama kuna mwanamke unayemjua na unadhani angemshinda Cheryl!
Unafahamu hawa wanaume woote wanaotamba kwenye dunia ya maonyesho ya nguo, wengi wao ni mashoga. Sasa zamani wengi wao walikuwa wakijificha kujitangaza kuwa ni mashoga. Sasa kwa sababu dunia ya ununuzi nguo imetawaliwa na WANAWAKE, hawa jamaa wakawa hawana jinsi ila kuvumilia. Ilipofika kipindi wakaanza kutawala huko, basi yale maumbo ya WANAWAKE wa kweli yakawa yanawatibua sana hawa mashoga. Ndipo ikaanza kampeni ya chinichini ya kuwatengeneza WANAWAKE waonekane kama wanaume. Dawa ni moja tu, nayo ni kumkondesha huyu binti hadi akome ubishi wake. Unakuta Mwanamke mreefu halafu mwembamba utafikiri mwanaume wa Kitusi/Kisomali. Kakipita na gauni inakuwa kama vile gauni imetundikwa na suruali anakuwa kama vile KAINGIA na akajifunga na si KAVAA.
Siyo ngoja tubaki na mimama iliyoshiba. Ukimuona Salma Kikwete kifua chake, unakubali kuwa YES. Ukimuona Mama Obama, Jennifer Lopez, Shakira (haka wakati mwingine nako kanakondeana na walikanyonya mafuta), Serena Williams, Beyonce wa kutoka Texas, Cheusimangala nk hapo unakubali kuwa umeona mwanamke wa kwelikweli. Wee mwanamke na mwanaume kitandani, kama ni giza unaweza kukosea maana Mwanaume anakuwa na makalio makubwa kuzidi Mwanamke, maajabu haya.
sikonge katika siku nilizocheka ni leo
Uko serious au unatania ....
Ah, Sikonge Bwana-you made my day today. Pamoja na professional yako uliyonayo, lakini vile vile unaweza kuwa comedian mzuri sana wewe-haaaaa!.Unafahamu hawa wanaume woote wanaotamba kwenye dunia ya maonyesho ya nguo, wengi wao ni mashoga. Sasa zamani wengi wao walikuwa wakijificha kujitangaza kuwa ni mashoga. Sasa kwa sababu dunia ya ununuzi nguo imetawaliwa na WANAWAKE, hawa jamaa wakawa hawana jinsi ila kuvumilia. Ilipofika kipindi wakaanza kutawala huko, basi yale maumbo ya WANAWAKE wa kweli yakawa yanawatibua sana hawa mashoga. Ndipo ikaanza kampeni ya chinichini ya kuwatengeneza WANAWAKE waonekane kama wanaume. Dawa ni moja tu, nayo ni kumkondesha huyu binti hadi akome ubishi wake. Unakuta Mwanamke mreefu halafu mwembamba utafikiri mwanaume wa Kitusi/Kisomali. Kakipita na gauni inakuwa kama vile gauni imetundikwa na suruali anakuwa kama vile KAINGIA na akajifunga na si KAVAA.
Siyo ngoja tubaki na mimama iliyoshiba. Ukimuona Salma Kikwete kifua chake, unakubali kuwa YES. Ukimuona Mama Obama, Jennifer Lopez, Shakira (haka wakati mwingine nako kanakondeana na walikanyonya mafuta), Serena Williams, Beyonce wa kutoka Texas, Cheusimangala nk hapo unakubali kuwa umeona mwanamke wa kwelikweli. Wee mwanamke na mwanaume kitandani, kama ni giza unaweza kukosea maana Mwanaume anakuwa na makalio makubwa kuzidi Mwanamke, maajabu haya.
Yegomasika hapo umenifurahisha, maana umemfuatiliiiaaaa Sikonge katika arguments zake kisha ukagundua kuwa Sikonge ni mtu wa minofu ya nguvunguvu, very Fantastic. Dah! JF ina raha sanaBwana Sikonge kwa hiyo wewe ni mpenzi wa wenye minofu yenye nguvu kama hii sio!.
Mkuu Yegomasika,
Hiyo ndiyo yenyewe sasa. Ila nikiri kuwa akina mama namna hiyo huwa nafurahi kuwaangalia wakiwa wamevaa nguo au vinguo vichache. Wakibaki wazi, tetetee huwa naanza kuona heri wapungue kidogo.
Kusema ukweli, napenda kwanza mwanamke mwenye pua kubwa kama ya Leona Lewis, Sarah O'connor nk. Hapo nakuna nywele za kujisokota mama weee, na kumalizia na Kipengule. Dada zangu woote wana mzinga wa pua na kusokota nywele. Sijui ilini-affect? Mengine sisemi.
Ila tabia ya MWANAMKE jamani ni muhimu zaidi. Nimeona jamaa walioowa wanawake Wazuri sana wakilia kama watoto wadogo.
Kwa sasa Mkuu, mie ni ARTIST haswaa. Kule kwa samani nilikimbia na Zege halilali nina siku nyingi saaana sijaliona. Mie na Kikwete ngoma droo ila sema mwenzangu ana hela kama nini sijui. Swali gumu kwake litakuwa "Mkwere, how much do you wealthy??"