Shuleni vinakaa kwa muda gani?Cheri cha form na hata form six unachukulia shulemi kwako ulikosoma na hakuna malipo Labda kama aliacha deni shule
We mwalimu kilaza mbona unapanic sana? Umasikini umekupanda kichwani au? Upepo gani najazwa? Kuuliza jambo ni kosa kisheria we mjinga?Acheni kumjaza upepo huyu mtu.
Hakuna kesi hapa we mwanamke mwalimu! Ji just nimeuliza kujua! Acha kupayuka payuka!Shuleni vinakaa kwa muda gani?
Kwani haufiki muda vyeti vinarudishaa necta?
Vikirudi bado atachukua bure?
Huyo dogo aeleze scenario nzima
Umenitukana sana bila sababu.We mwalimu kilaza mbona unapanic sana? Umasikini umekupanda kichwani au? Upepo gani najazwa? Kuuliza jambo ni kosa kisheria we mjinga?
Mimi pia siyo mwanamke.Hakuna kesi hapa we mwanamke mwalimu! Ji just nimeuliza kujua! Acha kupayuka payuka!
Hayo siyo malipo halali,labda kama alipoteza kitabu cha shule anadaiwa anashindwa kukuambia ukweli.Hbr waungwana!
Kuna bwana mdogo yupo hapo Tz, anatakiwa afuatilie cheti cha Form 4,amemaliza mwaka Jana, ananiambia sijui wanalipia Elfu ISHIRINI! Je wanalipia wapi ili kukipata?ni malipo halali ya kisheria yenye risiti za serikali au ?
Huwa havirudishwi nectar,mwaka 2017 nilikuwa na Kazi pale Minaki ss,mtaaluma alikuwa rafiki yangu kuna MTU alikuja kuchukua Cheri chake na alimaliza pale miaka ya mwishoni mwa themanini.Pili wakili Emmanuel Muga alifuata Cheri chake Lindi sekondari 2018 na alimaliza form six 1997Shuleni vinakaa kwa muda gani?
Kwani haufiki muda vyeti vinarudishaa necta?
Vikirudi bado atachukua bure?
Huyo dogo aeleze scenario nzima
SawasawaHuwa havirudishwi nectar,mwaka 2017 nilikuwa na Kazi pale Minaki ss,mtaaluma alikuwa rafiki yangu kuna MTU alikuja kuchukua Cheri chake na alimaliza pale miaka ya mwishoni mwa themanini.Pili wakili Emmanuel Muga alifuata Cheri chake Lindi sekondari 2018 na alimaliza form six 1997