Excemption ya Tanzania Investment Center (TIC) ni Tax incentive ambayo unapata siyo tu kwa kuagiza vogue enje hata bidhaa za ndani .... wanakuondolea VAT .... lazima ujisajili kama mwekezaji
Ukiacha kuwa mwekezaji, ni vigezo gani vingine inabidi uwe navyo ili kupata hiyo certificate?
Habari wanajamvi
Naomba kuelimishwa kidogo. Nasikia kuna mamlaka za kiserikali wanatoa vyeti maalumu kwa makampuni ili kuyawezesha kuingiza bidhaa nchini bila kutozwa ushuru bandarini, bidhaa mfano magari, matrekta na mashine mbalimbali. Mwenye uelewa huo tuelimishane
taasisi za dini, donor funded project (dfp), watumishi wa serikali kwa mara ya kwanza, diplomatic & diplomatic mission, EPZ & SEZ, hospitals, hotels(kinachoagizwa lazima kiwe kwa matumizi ya hosptal/hotel eg bed, furniture ambulance etc). Kwa haraka nakumbuka hyo list, ina vitu vingi zaidi ya hapo.nikipata muda nita-paste toka EAC-CMA