BIREGU
Member
- Feb 10, 2013
- 31
- 8
Nilifunga ndoa ya kiserikali na mke wangu miaka 7 iliyopita na tulipata watoto2 ingawa baada ya miaka miwili tulitofautiana tukatengana(sio kisheria) bahati mbaya mke wangu alifariki miaka 2 iliyopita akiwa sehemu alikokuwa anfanyia kazi na ndie aliekuwa anakaaa na cheti cha ndoa ,kwakuwa nilikuwa mbali wakati wa msiba ndugu zake walificha cheti cha ndoa iliwaweze kuwa na ualali wa kuridhi mali za huyo mke wangu.walifanya taratibu za mirathi wenyewe na wakamchagua mdogo wake kuwa ndo msimamizi wa mirathi.je inawezekana kufungua kesi kudai mimi kuwa ndo msimamizi wa mirathi? na je nawezekana kisheria kupata cheti kingine cha ndoa bomani iwe kama ushahidi wangu?NAOMBA USHAHURI WENU