Cheti cha ndoa

BIREGU

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
31
Reaction score
8
Nilifunga ndoa ya kiserikali na mke wangu miaka 7 iliyopita na tulipata watoto2 ingawa baada ya miaka miwili tulitofautiana tukatengana(sio kisheria) bahati mbaya mke wangu alifariki miaka 2 iliyopita akiwa sehemu alikokuwa anfanyia kazi na ndie aliekuwa anakaaa na cheti cha ndoa ,kwakuwa nilikuwa mbali wakati wa msiba ndugu zake walificha cheti cha ndoa iliwaweze kuwa na ualali wa kuridhi mali za huyo mke wangu.walifanya taratibu za mirathi wenyewe na wakamchagua mdogo wake kuwa ndo msimamizi wa mirathi.je inawezekana kufungua kesi kudai mimi kuwa ndo msimamizi wa mirathi? na je nawezekana kisheria kupata cheti kingine cha ndoa bomani iwe kama ushahidi wangu?NAOMBA USHAHURI WENU
 
masikini weeee pole sana.kwani weweunataka usimsmie mali za mke wako au zilikuwa za kwenu????????nakushauri kama mwanaume songa mbele achanana hayo mambo tunza watoto wako hata kwa sheria utaambulia utupu ndugu wa mke hawatakupa chochote!!!
 
View attachment 97976POLE SANA. ninafikiri, mali zilizotakiwa kuorodheshwa kwenye mirathi ya mkeo zilitakiwa kuwa ni mali zake pekee na si mali ambazo mlimiliki pamoja au zile za kwako ambazo alikuwa nazo hazikutakiwa kuorodheshwa kwenye mirathi. sasa pole kwa yaliyotokea. unahitaji ushauri wa kisheria sio hapa kwenye mtandao tu bali tafuta mwanasheria kabisa akushauri na mjue namna gani mtafanya kama kuna remedy yeyote hapo unaweza kupata au ndo umepoteza. pia jipe moyo, songa mbele tafuta maisha mapya hilo la kufuatilia mirathi ambayo ilishagawanywa tayari liwe ni substitute tu. kwa wasomaji wengine na wewe pia, nakushauri soma kitabu hiki hapa chini, nimeweka cover lake.

View attachment 97976View attachment 97977
 

Mkuu umejuaje hajui kiingereza?
 

Pole sana kwa msiba, nenda ofisi uliyofungia ndoa, uwape mwaka na tarehe mliyofungia ndoa, wanaweza kukupatia nakala ya cheti, itabidi ulipe ujira mdogo.
 
vitabu hivi kwa sasa vimefika arusha Sasa kinapatikana Arusha katika duka la KASE STORE BOOKSHOP mtaa BOMA ROAD ELCT building. utakipata kwa shilingi alfu kumi tu. na si zaidi ya hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…