cheti changu jamani

cheti changu jamani

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
habari zenu wana jf,kuna ndugu yangu aliapply chuo flani cha diploma kwa kutumia jina langu,na akapata nafasi,sasa kwenye kuripoti akachukua cheti changu original cha form 4 kukionesha chuoni,bila mimi kujua,saivi wakati nataka kufatilia transcript ndio nikajua cheti hakipo,kufatilia kumbe yeye ndio alikichukua chumbn kwa mama yangu,na huko chuoni kwao wanasema vyet vipo wizarani,na kurudi sio leo,na mimi siwezi pata transcrpt bila icho cheti,pia nikipata post nitaripot vipi bila transcript wala cheti cha form 4,nifanyaje?
 
Ebu jieleze kama msomi,maana naona kama unalialia 2!
 
Back
Top Bottom