Cheti chenye madoa hakitaleta shida kuitwa interview ajira portal

Dogo12

Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
65
Reaction score
155
Habari
Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
 
Hakuna tatizo. Wanachoangalia ni cheti halisi sio usafi au uchafu wa cheti. Kiwekee lamination kisiendelee kuharibika. Best wishes mpambanaji mwenzangu.
 
Shukrani kiongozi mungu akubariki
 
Back
Top Bottom