Cheti darasa la saba kinauzwa,...

Cheti darasa la saba kinauzwa,...

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
wadau nliuliza umuhmu wa cheti cha std 7 ila wengi WAMENSHAMBULIA KWA MATUSI NA KUSEMA ETI KINASAIDIA KUTAMBUA UTAIFA WAKO NA KUA KWELI UMEZALIWA TZ......wengi japo sio wote wamejibu hvyo yani huu ndio uelewa wa GRADUATE wengi,mm nasema wamesoma ila hawajaelimika kama lengo ilikua ni kutaka kujua nationality wangeomba BIRTH CERTIFICATE TU.... Pia wasomi wengi wanakurupuka kujibu vitu bila kuelewa hivi mtu unapoulizia UMUHIMU WA KITU ndio umekipinga?....
 
Sijajua umeandika nini..?
 
Global Publishers wanatafuta watu kama wewe,nenda pale Bamaga ukajichukulie ajira mkuu
 
Inaonesha hii thread ni part B, bahati mbaya haujaweka link ya part A ili tuelewe ulianzia wapi! Kama unaelewa maana ya CERTIFICATE hautakuwa na taabu kujua umuhimu wa cheti cha STDIV!! Hata kindergarten unapewa cheti ukimaliza, hata seminar ya masaa 8 unapewa cheti!
 
Inasikitisha eti kijana kama ww ujui certificate ina umuhimu gan?
 
uwezo wako mdogo wa kufikiri ndio umefanya usielewe hoja iliyowasilishwa

Kama wewe umeweza kuelewa hiyo heading na kilichomo ndani basi ndio maana mnapata div.5 kwa kukurupuka mkidhani mmeelewa kumbe kitu HAKIELEWEKI.
 
Kama wewe umeweza kuelewa hiyo heading na kilichomo ndani basi ndio maana mnapata div.5 kwa kukurupuka mkidhani mmeelewa kumbe kitu HAKIELEWEKI.

wewe uliyepata division one ya kukariri ndio unashindwa kuchambua mambo, hata ukisoma vitabu vya watu wenye credibility za kutosha wapo wengi wanaoandika content tofauti na title ya kitabu. so next time JIPANGE SISTER
 
Back
Top Bottom