Cheti kimeokotwa

Combination gan? Nipo na wanafunz wa Jitegemee sec six leaver 2012
 
Kwa anayeitwa au anaemfahamu
SUNDAY LAMECK ambaye amemaliza
kidato cha sita Jitegemee Secondary
mwaka 2012 awasiliane hapa cheti
chake kimeokotwa.

weka Contacts zako bro ili iwe rahisi kukupata
 
Kwa anayeitwa au anaemfahamu
SUNDAY LAMECK ambaye amemaliza
kidato cha sita Jitegemee Secondary
mwaka 2012 awasiliane hapa cheti
chake kimeokotwa.

Vizuri sana, weka mawasiliano yako kwa urahisi zaidi.
 
Kwa anayeitwa au anaemfahamu
SUNDAY LAMECK ambaye amemaliza
kidato cha sita Jitegemee Secondary
mwaka 2012 awasiliane hapa cheti
chake kimeokotwa.


Utafungwa jela wewe, ohooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…