Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mzalishaji ni mimi na wewe. Kama unao uwezo wa kuwavuta wawekezaji wakaja na kuwekeza kwenye sekta fulani, basi baraka zitakuwa juu ya ukoo wako.Huyu mtu uwezo wake ni kuchota hela hazina,kununua ndege,kusaini mikataba na kuzindua miradi. Zaidi ya hapo ni mweupe pee.
In short,anajua kuzitumia lakini hajui namna ya kuzizalisha wala kutengeneza mazingira yatakayosaidi zizalishwe..
Huyo mkuu kaandika mada nzito sana ila katumia lugha nyepesi sana, nampa hongeraTuandike mada zetu kama great thinkers jamani. Au Wanafunz wengine bado kuripoti shule ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuandike mada zetu kama great thinkers jamani. Au Wanafunz wengine bado kuripoti shule ?
Sent using Jamii Forums mobile app
We produce which we don't consume and we consume which we don't produce. Substantheight?