dee dee haya kipi kinachokufanya ushangae! kwani mafisadi wangapi wamejaa kwenye chama cha machangu wanakula haramu na kujilimbikizia mali kwa njia zisizo halali! ila akifanya wema unatoa macho! muacheni ale vyake vya haramu, tafuta na wewe vyako vya haramu! hongera mwaya wema!Hata kama amevipata isivyo halali KWELI ????
Hongera lakini usije ukawa uliyempata ni mkenge kama alivyouvaa Jackie, maana matapeli ni wengi (eti nina biashara kumbe Unga)
yaani makolokolo hata kwa Mganga kuna afadhali...
Na hilo lijoho alilolivaa na hiyo minywele alobandika yaani kama Tabitha bibi yake Timmy wa the Passion.
ZAmaradi kwa nn una mjibu Jokate hivyo, hivi mngekuwa mantumia majina yenu halisi ungesubutu kumjibu hivyo mwenzako
Mbona unajamba maputo!? unataka watu wote wagonge Like na kuunga mkono vitu vya kipuuzi? support hoja zako kwa kuweka source of income za Wema na siyo blah blah, hatutaki dada zetu wapate matatizo kama ya Kajala kwa ajili ya haya mashindano yenu ya kipuuzi kwa sifa za muda mfupi na kuharibu maisha yenu kwa miaka mingi ijayo.Ulitumwa kuchangia??we ndo utoe matapishi yako hapa, tena wewe huenda utakuwa jokate wewe....na bado utaisoma namba mwaka huu, wema ndo huyooooooooooooooooooooooooo anapepea utabakia kuingia internet cafe kuja kuweka comments zako hapa za chuki binafi
Angalia movie ya Kinaigeria inaitwa Billionaires Club then utapata tabu ya kuwaelewa hawa ambao Janualy walikuwa hawana hata bajaj lakini leo wanaweza kumpa mtu millioni 15. hakuna pesa halali dunia hii inayopatikana kwa style hizo, only time will tell.Duh! Nimebahatika kuiona hiyo crib ya wema ktk take one ya clouds tv, ni nzuri na imependeza sana!! Ila sasa naomba wadau mnisaidie kwa yeyote anayejua, utajiri huo wa bidada ni kwa kazi ya movies anazofanya au kuna shughuli nyingine, ipi hiyo? Inaweza ikawa funzo kwa wengine ili nao pia waweze kufanikiwa kama yeye. Msaada wajameni!!!!!
Angalia movie ya Kinaigeria inaitwa Billionaires Club then utapata tabu ya kuwaelewa hawa ambao Janualy walikuwa hawana hata bajaj lakini leo wanaweza kumpa mtu millioni 15. hakuna pesa halali dunia hii inayopatikana kwa style hizo, only time will tell.
Mbona unajamba maputo!? unataka watu wote wagonge Like na kuunga mkono vitu vya kipuuzi? support hoja zako kwa kuweka source of income za Wema na siyo blah blah, hatutaki dada zetu wapate matatizo kama ya Kajala kwa ajili ya haya mashindano yenu ya kipuuzi kwa sifa za muda mfupi na kuharibu maisha yenu kwa miaka mingi ijayo.
Jibaba limemnunulia. Ama kweli K**a ni mtaji mzuri.
"Like Mother Like Daughter"
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mtu mwenye akili mgando kama wewe huwezi kujuwa ni nini maana ya source of income maana hata umalaya wewe kwako ni kazi rasmi, na ukifika kwenye vitu professional na ukaambiwa lete bank statement yako for past six month ili cash flow yako ionekane ni lazima utaona unaonewa.Kati ya Mimi na wewe anayejamba maputo ni nani? kazi yako ni kuangalia source za income za watu mjini hapa wewe za demu/mke wako umeangalia? hahaha kitoe kibanzi jichoni mwako ndo uangalie boriti kwa jicho la mwenzako. ukweli Wema amebamba ukilinganisha na age yake! mtabaki kutolea sababu mafanikio ya wenzenu mkibaki wasindikizaji katika haya maisha
Mrembo by Nature kwanza kabisa mimi sina demu, si wanawake wote ni mademu, mademu ni wanawake wa same category na wewe unayedhani watu wapo hapa kutafuta Mrembo na ndio sababu ya kujipigia Promo za kipuuzi eti Mrembo by Nature na kutundika Avatar ya mwanamke mwenzako.teh teh teh naona povu linakutoka kijana kisa umeambiwa hata demu wako hujui mapato yake....naona ukojoe ukalale huna jipya ndugu.