Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Fact
Diamond amefanya blunder kubwa sana kuzaa na huyu Mabitoz ...kweli ni mshamba , hashuo , dada udaku, muongo,
Ati anasem alikuz na mahusiano na diamond miaka 9...wakati ana miaka 24..ingawa kijuso kina onekana cha miaka 40....
Jee Majizo amekaa nae miaka mingapi...
Diamond amsaidia pesa mtoto lakini amplipe direct kwenye matunzo ...asimpe huyu mshamba pesa anafanya pati za wambeya na ulevi ati sherehe ya mtoto...!

Kama shule amlipie direct
Kama maziwa anunua katuni apeleke
Kama hospital amkatia bima ya afya
Kama mguo amnunulie
Lakini asitoe pesa taslIm kwani mama ni mharibifu.
Na ikifik 8 yrs ana haki ya kumchukua mtoto wake .
Ni kosa kukubali kuvua chupi za vidampa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] poleew!mtu mzima km yule kushindana na vitoto anavyovizaa inahuu?
Hauoni hamisa alivyo banwa mbavu.
Zari Hana cha kupoteza yeye ndo anatakiwa atulie. Anaweza akawa hata MKE wa diamond. MTU ameshazaa nae anashindwa kumdhibiti bwana.?
Yeye ufahari ni kuzaa na diamond tu. Karidhika.
Zari anaona mbali.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani wewe humjui mswahili anayeenda puta kwa sasa ni Dada yetu Zari maana umri wake ni zaidi ya mara 2 ya Hamisa lakini bado anapapalika na mtoto wa Tandika
Nakuuliza swali la mwisho. Hamisa alizaa na diamond kwa malengo gani?
 
We unadhani walikua na malengo gani? Si Hamisa tu hata Diamond alikua na mategemeo yake,hebu jiweke pembeni jamani lol
Unaona sasa. Ndo maana nawaambia mnampoteza hamisa. Hajui Anataka nini kwa diamond. Ilo ni tatizo. Hivi nillan na Abdul wanatofauti gani!? Kwanini diamond yuko bize na akina nillan kuliko Abdul?
Hamisa tatizo anamnyima mtoto malezi ya baba.
 
Hata aliezaa nae pia ni limbukeni tuu.
 
Unaona sasa. Ndo maana nawaambia mnampoteza hamisa. Hajui Anataka nini kwa diamond. Ilo ni tatizo. Hivi nillan na Abdul wanatofauti gani!? Kwanini diamond yuko bize na akina nillan kuliko Abdul?
Hamisa tatizo anamnyima mtoto malezi ya baba.
Sawa bi Tukinao
 
MUNGUA AHAKIKISHE UNAIBIWA
 
Kwa michepuko na wezi wa waume za watu wanafurahia huo umalaya imagine mama yako afanyiwe hivo na kibinti mchepuko kimpe kila aina ya dharau damu inge mwagika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…