Diamond kinachomuumiza sana ni brand yake maana akikumbuka kilichomkuta baada ya kuachana na wema ndo icho kitakachomkuta pindi atako mdrop zari, lakin in reality hakuna kijana yyt anayeweza kivumilia kukaa na mwanamke aliyemzid umri kiasi icho na mitoto juu. Kwa navohisi domo itakuwa alikuwa kashaanza kutengeneza maisha mapya na hamissa kisiri siri ili baadaye hata ikija kuvuma iwe rahisi kumuacha zari sema ndo ivo mipango imevurugika kabla. To be honest hata mm siwezi kuvumilia kuishi na mwanamke anaelekea menopause wakati mm ndo dam mbich kabisa.