Watu wa humu wanaonyesha wana chuki kwa hamisa live kabisaHkn anaemchukia na utamchukiaje mtu bila sababu inamaana kutaka kuambiwa busara zake ndo kumchukia wengine hatuzijui hz busara zake
Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
Ww ndo zar nn?Ndy maana mkapewa laki mbili kwa mwezi...maana mkipewa nyingi mnasumbuw wtu mjini..huyo hamisa ni sawa na Mlevi tu....anakuomba pesa unampa AKISHALEWA anarudi kukutukana...ndy maana DAI akasitisha pesa....leo analalama mahakamani..hapewi mtunzo....hizo pesa zingemsaidia kufungua hata biashara kuliko kutegemea KUVULIWA CHUPI mjini humu...pia anapaswa apambane na hali yake sio apambane na wengine.....atakuja kudaiwa DNA ya mtoto aumbuke....mtoto mwenywe wa KUCHOMEKEA.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbeee tatizo laki mbili[emoji1] [emoji1] [emoji1]ulikua unazitaka wewe nini?!Ndy maana mkapewa laki mbili kwa mwezi...maana mkipewa nyingi mnasumbuw wtu mjini..huyo hamisa ni sawa na Mlevi tu....anakuomba pesa unampa AKISHALEWA anarudi kukutukana...ndy maana DAI akasitisha pesa....leo analalama mahakamani..hapewi mtunzo....hizo pesa zingemsaidia kufungua hata biashara kuliko kutegemea KUVULIWA CHUPI mjini humu...pia anapaswa apambane na hali yake sio apambane na wengine.....atakuja kudaiwa DNA ya mtoto aumbuke....mtoto mwenywe wa KUCHOMEKEA.....
Ht kama amelalamika ila hamisa hashindwi kumlea yule mtt mwenyewe Lin atamleaje mwenyewe wkt babake yupo na anauwezo kaz kulea wtt wasomuhusuNdy maana mkapewa laki mbili kwa mwezi...maana mkipewa nyingi mnasumbuw wtu mjini..huyo hamisa ni sawa na Mlevi tu....anakuomba pesa unampa AKISHALEWA anarudi kukutukana...ndy maana DAI akasitisha pesa....leo analalama mahakamani..hapewi mtunzo....hizo pesa zingemsaidia kufungua hata biashara kuliko kutegemea KUVULIWA CHUPI mjini humu...pia anapaswa apambane na hali yake sio apambane na wengine.....atakuja kudaiwa DNA ya mtoto aumbuke....mtoto mwenywe wa KUCHOMEKEA.....
Inabidi aamini tu kuwa kazaa na diamond na atulie kwakua hata sio ajabu make alishazaa na mwanaume mwingine, na ataendelea kuzaa na wanaume wengine atulie.Umeona wangu hadi nimemchukia she is so selfish ,halafu hana kazi wala biashara anayofanya na shule alikimbia kule madenge Tandika
Usimpangie kukaa kimya mtu aliye amua kuongea,ulijuaje waliozaa na askofu kama hawakuongea!?SHIDA KWANI KUZAA KUNA WATU WAMEZAA MPAKA NA MAASKOFU WAPO KIMYA.
We kweli mjinga ,si wa kubishana nawe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Anayekwambia ukweli Ana kupenda. Sioni Sababu za hamisa kushindana na zari. Mnampoteza
Mwanahabari wa kujitegemea........!Heshima kwenu waungwana
Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,
Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?
Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Mnamjaza tu ujinga mwenzenu. Kuzaa na diamond Kama, kazaa na malaika. Anashindwa kula na kipofu. Zari na uzee wote ule anamuendesha puta hamisa.We kweli mjinga ,si wa kubishana nawe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani wewe humjui mswahili anayeenda puta kwa sasa ni Dada yetu Zari maana umri wake ni zaidi ya mara 2 ya Hamisa lakini bado anapapalika na mtoto wa Tandika[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Mnamjaza tu ujinga mwenzenu. Kuzaa na diamond Kama, kazaa na malaika. Anashindwa kula na kipofu. Zari na uzee wote ule anamuendesha puta hamisa.
Hamisa kazidiwa kete. Jipangeni upya
Hamna busara paleZari ana sex tape mitandaoni so sijui kipindi anachukua hii video busara alikuwa amemuacha wapi.?
Lol![emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] bora joanah uulize mama
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] poleew!mtu mzima km yule kushindana na vitoto anavyovizaa inahuu?[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Mnamjaza tu ujinga mwenzenu. Kuzaa na diamond Kama, kazaa na malaika. Anashindwa kula na kipofu. Zari na uzee wote ule anamuendesha puta hamisa.
Hamisa kazidiwa kete. Jipangeni upya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unamchukia mtu asiye kujua!chuki zako hazina athari yoyote utajiumiza buree [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na ma fundo rohoniUmeona wangu hadi nimemchukia she is so selfish ,halafu hana kazi wala biashara anayofanya na shule alikimbia kule madenge Tandika
Sister how do u know?punguza basi uswazi unani quote several times comment moja[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unamchukia mtu asiye kujua!chuki zako hazina athari yoyote utajiumiza buree [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na ma fundo rohoni
Sawa kaka sikuquote tenaSister how do u know?punguza basi uswazi unani quote several times comment moja
Sababu ya Chibu kuachana Na Wema ni huyo huyo Zari. Baada ya kumkuta bibie Zari ana pesa za kutosha. Ndipo wakamwangana na Wema. Ni wakati wa BBA SA Na Idriss kushika atamu. Zari kutambulishwa kwa mbwembwe. W/Patty. Mara tukaona Magari ya kifahari madale. Video nyingi sana SA. ........... nkDiamond kinachomuumiza sana ni brand yake maana akikumbuka kilichomkuta baada ya kuachana na wema ndo icho kitakachomkuta pindi atako mdrop zari, lakin in reality hakuna kijana yyt anayeweza kivumilia kukaa na mwanamke aliyemzid umri kiasi icho na mitoto juu. Kwa navohisi domo itakuwa alikuwa kashaanza kutengeneza maisha mapya na hamissa kisiri siri ili baadaye hata ikija kuvuma iwe rahisi kumuacha zari sema ndo ivo mipango imevurugika kabla. To be honest hata mm siwezi kuvumilia kuishi na mwanamke anaelekea menopause wakati mm ndo dam mbich kabisa.
Hivi wewe na hicho kikomenti chako kila Uzi unalipwa?hawa wa nitarejea akutana na wachungaji wapiga dili kwa kutumia jina la Mungu, wamuabisha na kumdhalilisha
Haaaaa haaaahaaaa...JF banaSister how do u know?punguza basi uswazi unani quote several times comment moja