waikafashiongallery
New Member
- Aug 27, 2020
- 1
- 0
Acha kumfokeaSamahani mkuu hayo maelezo ya kudonoa mshale wa njano unawapa kuku au Mimi ndio nitakua nadonoa?
Hapana mkuu sijamfokea. Nimeuliza tu ili nijue maana kuwapa kuku mafunzo ya kudonoa mshale ndio maji yatoke ni kipengele.Acha kumfokea