Hello! wanajamvi kwa wale mlipo Dar. kama kuna mtu anajua bei ya mashine ya kuoka kuku(Grill) yenye uwezo wakugrill minimum 20 pc za kuku na inayotumia umeme na gas PLZ naomba anijulishe bei, nitashukuru kama ntapata bei za mpya na used!
Mbarikiwe as always.
Mbarikiwe as always.