Hizo machine hapo Dar sijui kama utapata kweli. Najua zinapatikana kwa urahisi pale Nairobi. Ngoja tuone kama kuna atakaye jitokeza kusema zinapatikana wapi hapo Dar.
Tiba
Mkuu Tiba asante je una idea min. na max. price kwa huko Nairobi?
Yes Nairobi unaweza kupata ya kuku 10 ni Kshs. 50,000. Hii ndio niliulizia bei yake sasa hiyo ya kuku 20 inawezekana ikawa kwenye Kshs. 70,000.00 hivi.
Tiba