Mahitaji
1)Chicken breast(kata vipande vidogo kiasi)
2)pilipili manga
3)mayai
4)chumvi kiasi
5)unga wa ngano
6)Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
1)Weka chumvi katika chicken breast pamoja na pilipili manga...acha vikolee kwa dakika 15
2)paka unga wa ngano juu ya kila kipande cha kuku
3) changanya mayai kwenye bakuli na uweke kila kipande cha kuku...
4)weka karai mafuta yakipata moto kaanga hadi viwe brown....
Sosi
1)ukwaju
2)pilipili kiasi
3)chumvi
4)kotmiri/giligilani
5)tende toa kokwa/asali
1)roweka ukwaju kwa dakika 5
2)toa makokwa na uchanganye na pilipili, chumvi,kotmiri(giligilani),tende ama asali na maji kiasi saga kwa blenda
Chicken nuggets tayari kwa kuliwa...