hivi kila anayeondoka bila kuaga huwa anaweza kurekodiwa??Kwenye hiko kipindi cha tv kama wataonyesha jinsi alivyokuwa anaondoka italeta majibu sahihi
Sasa ameshapona kabisa?
Wasingemuonesha kwanza wangempa kama mwezi baadae nyama zirudi.
acha uongo wewe chidi benz katoka sober house matibabu yake yalikuwa ni program ya mwezi mmoja tu
Hahaha yani ni vituko kwa kweli.huu usanii upo kila mahali,yani Kalapina ndiye anamshauri Chid aachane na drugs!!wonders shall never end.
Tehetehehuu usanii upo kila mahali,yani Kalapina ndiye anamshauri Chid aachane na drugs!!wonders shall never end.
Hahaha ati nyama zirudiSasa ameshapona kabisa?
Wasingemuonesha kwanza wangempa kama mwezi baadae nyama zirudi.
Tanzania ni nchi yenye maajabu sana mkuu usishangaehuu usanii upo kila mahali,yani Kalapina ndiye anamshauri Chid aachane na drugs!!wonders shall never end.
Yani wanataka wamfanye kama maonesho maskini.Hahaha ati nyama zirudi
mi nadhani wew ndo mpumbavu and msenge mana mpaka leo ujafaham media ambazo ni true source of informatio na ambazo ni mbovu, mana GPL mbna mara nyingi sana wanarekodi sauti za wahusika wa uwongo na kuposti...! au wew umewajuwa leo? anyway wew habari yako umeitoa GPL mi yangu nimeitoa Cloudz xxl kwa kuwaskia kalapina na chid mwenyewe also babu tale kathibitisha leo insta...!post ya kipumbavu sana hii
Mkuu hata video huioni??
Grow up you stupid fool... Drugs sio kama show aisee.... afterall Chidi alikamatwa airport akiwa na unga, sielewi kwanini hata anapata huruma zote hizi
Chagua cha kuandika wewe...
LIsten pinlohe... tumeona video, sio sound clip... Babu Tale na Kalapina sio wataalam wa kusaidia drugs addict, wao ni wataalam wa kuwadalalia mateja na kutengeneza pesa using their talanta!!mi nadhani wew ndo mpumbavu and ****** mana mpaka leo ujafaham media ambazo ni true source of informatio na ambazo ni mbovu, mana GPL mbna mara nyingi sana wanarekodi sauti za wahusika wa uwongo na kuposti...! au wew umewajuwa leo? anyway wew habari yako umeitoa GPL mi yangu nimeitoa Cloudz xxl kwa kuwaskia kalapina na chid mwenyewe also babu tale kathibitisha leo insta...!
YOu did the same... au ni upande mmoja tu?dah am stupid fool? unajiskia raha mwenyewe kunitusi et! afu unajiona unamadini sana ya kumwaga hapa jf mkuu.
JPM anapiga kotekote... subiri tamko lake moja tuHawa watakufa wenyewe JPM anasaka walanguzi
inawezekana ni heroin mkuuDaaaah, kweli coke is equal to premature death
All in all Drugs ni noma sanainawezekana ni heroin mkuu