Huyu prof jay anapenda sn sifa za kijinga mara nyingi huwa anajisifia kwamba yeye amewaombea ruksa wasanii wenzake ili waimbe! Big up chidy benzi
Nadhani toka atoboe pua akili yake inatundu kiaina.......
huyo chidi toka atoboe pua akili yake haijakaa vizuri!
napita tu
Huyu prof jay anapenda sn sifa za kijinga mara nyingi huwa anajisifia kwamba yeye amewaombea ruksa wasanii wenzake ili waimbe! Big up chidy benzi
Nadhani toka atoboe pua akili yake inatundu kiaina.......
Heri wewe unapita tu.Mimi nimesimama ninashangaa mambo haya ya uswahilini kwetu....
Kama ni kweli ni vibaya kusema?