Chid Benz amvuta Jay Z, asema ile ya 2PAC alikua anatania, ukweli ni huu

Chid Benz amvuta Jay Z, asema ile ya 2PAC alikua anatania, ukweli ni huu

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Baada ya sakata la kusema amefanya collabo na Tupac na kuleta mtafaruku mkubwa kwa mashabiki huku wakimtolea maneno makali wakisema amesha athirika kiakili kwa madawa ya kulevya kwa kuwa Tupac ni marehemu, sasa Chid Benz kuja na collabo na Jay Z.
42d51b105adc18f0ec34c6f5bec2d9d3.jpg

Akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na East Africa Television and Radio, Chid Benz amesema Collabo hiyo ameifanya na Jay Z huku 'chorus' yake ikifanywa na mke wa msanii hyo Beyonce, lakini anataka atoe 'chorus' hiyo na amuweke msanii wa Bongo Linah Sanga.

Chid Benz aliendelea kusema kuwa kauli hiyo anaitoa akiwa yuko sawa na sio mtu aliyelewa na madawa ya kulevya, na kwamba collabo hiyo imeshafanyika na cd yake ipo nyumbani kwa mama yake 'Mama Chid'.

Itazame hapa chini.
 
Chidi ...kichwa siku hizi kichwa mwili mdogo.....!! Kama siafu [emoji23][emoji23][emoji23]

Chidi siafu akili imeoza ,Jay gani labda amsubirie Sean Cater wa miaka 40 ijayo
 
Chid hiyo mikwara ulikuwa unawapiga watu zaman enzi zile CHID BENZ kweli, sio huyu ChidPASSO. Choka akikufata mzabe kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chid Passo anajaribu kuua so la kudaiwa kuyumba kwa dishi kwa kutoa boko lingine zaidi hahahah
 
Back
Top Bottom