Chid Benz amvuta Jay Z, asema ile ya 2PAC alikua anatania, ukweli ni huu

Hii inaonyesha pia wana jf wengi kuwa wao ndo 'Mateja' zaidi kwa kusoma comments zao za kukurupuka! Watu hawaangalii clip wanarukia kucomment.
Angalia kwanza clip umuelewe, kwa clip hii, akili yake iko vizuri kabisa, wanaoshindwa kumuelewa ndo wenye matatizo ya akili.
 
Kumbe na huku kuna vilaza, watu hata hawasikiliza wana kimbilia ku comment
 
Yaani Chid stimu zinampeleka mpaka New York na kumrudisha Ilala

Ila chid benz anaweza sana
 
Hii ndio bongo ambapo manji analazimishwa anatumia madawa na yuko ukonga chid anakula unga anatesa kwa TV stastion
 
uyu jamaa nahisi kuna watu walihofia uwezo wake....kifupi bado ni hazina kwenye rap game ya bongo
 
Ili still alikuwa anasisitiza point yake ya 'utani'
 
Huyu nati zinafunguka Mara kwa Mara arudishe tu alipokuwa otherwise ataua mtu Huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…