Chid benz amwaga machozi clouds alivyokuwa anaelezea story ya diamond kabla hajakuwa star

yaonyesha karithi kazi ya shehe yahaya huyu nae....
 
Chidi abadili mistari...aangalie wenzake mwanaFA ..proffesa j..rap za kizamani hazina maisha marefu...aangalie mikato ya WEUSI atajua namaanisha nini
 
sura yake imeshaanza kumwangika! ngada kweli tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…