Chid Benz kwenye mkasi

Tukubali ukweli mchungu kwa hawa wasanii TUMESHAPOTEZA!!
 
Bado anavaa kile kikuku puani?

sio puani tu hadi kiunoni ana shanga pia..

Duh..nashindwa ht kuuliza ulijuaje...ingawa nishasikia habari zake na yule mbunifu mhindi mwembamba was Moro

da huyu mchizi alikuwa mgumu sana chana sana mashairi lakini sasa naona anaelekea kubaya.....ukiweka kitu cha arusha ukakazia na kitu cha kutoka kule colombia kwa pablo escoba alafu ukaingezea na element za ushoga ushoga ni noma

Inamaana jamaa atakuwa WANAMPAKUA!?
 
keshakuwa chronic mwanangu!pozi zote zimeisha siku hizi mabatani anaenda kama comedian yaani full kuzingua

mi nilidhani kifo cha swahiba ake ngwair kingemfanya aache ngada. Tid kaisha sana aisee
 
Aelekee mara ngapi,,wana waiga akina pablo lakini wenzao walikua wana stick kwenye rule yao ya DON'T gET higH on UR owN sUpPLY
,,,

da hii principle nimeipenda.....kwamba dont get high on your own supply du..................!!
 
walikua wana supply ila kutumia very rarely
 
daaaa haya bana!

kazi ipo; huyo ndo keshaacha sembe na kudungwa sijui kinini..
hali ni tete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…