Chid Benz: Mapenzi ndio chanzo cha mimi kutumia madawa

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mwanamziki wa hiphop Chid Benzi katika mahojiano aliyofanya na Ayo tv ameeleza kuwa chanzo cha yeye kujihusisha na madawa ya kulevya ni mapenzi na wala si muziki kama wengine wanavyodhani. Katika maelezo yake ameonyesha ni namna gani mapenzi yalivyoathiri kwa kiwango kikubwa maisha yake na hivyo kumpelekea kujihusisha na madawa ya kulevya.

Soma pia: Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna watu walitumia weakness yake na ilifanywa ili kumshusha kimzikii maana jamaa alikua tishio..

NB. Kuna jamaa yeye alijifunzia madawa ya kulevya kwa kunywa juice ya matunda kutoka kwa mpenzi wake wa kike ambae alikua ana m mixer na drugs..
 
Pumbav kabisa, yani mwanamme mzima anaongea hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…