Chid Benz: Mpaka sasa hivi Babu Tale ameshatumia zaidi ya milioni 40 kwa ajili yangu

Tale tunashukuru sasa uende na Tip top kuna vijana wako wapo kule
 
Mnabishia nini, Babu Tale katumia zaidi ya milioni 60 na risiti zote bado anazo.
Tanzania kuna mambo sana!
 
Mimi nakubaliana na Chid tena inaweza kufika 100 Million au zaidi.
Ukiwabishia tu utasikia kapata stress karudia tena kua chatu acha tum-support.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…