daahh niliumia sana juu ya ile ngoma aisee.......upokelewaji wake ulikua wa chini sana....ngoma kali lkn sikutegemea impact ndogo vileeMkuu Chid huwa namkubali san ila kwa sasa ni ngumu sana kwake kutoboa tena.Kama goma kali kama CHUMA lilionekana la kawaida wakati i ngoma kali saaanaaa,asee akalime tu
hahahahaa sijatumwa mkuu ila ni according tu skio langu ndani ya hii ngoma yake mpyaa.......jamaa hana upepo ukiringanisha na chid wa miaka 4 iliopita......tofauti kabisamkuu umetumwa au???
umeiskia freestyle aloshuka pale au unamaanisha pumzi gani ya wale jamaa wanaopasua tofali independence day??
goma kali sana
ni vigumu.....addiction ya unga ni zaidi ya hata ile ya nyeto inayowatesa vijana mtaani miaka nenda rudi......sasa pata picha.Dah....chid benz angekuwa mbali sn ni mmoja kati ya wasanii wangu wakali wa muda wote napata mashaka kama atarudia ubora wake