Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ya Zimbabwe,maana guest za ilala na buguruni hazizidi elfu 30 kwa siku na alikuwa anavuta makapi si kitu chenyewe cha pele.Laki 4 Ya Zambia
Yupo kwa mama yke mkuuNasikia anakaa kwao sahv kweli madawa sio aise
Kwacha 1= Tzs 230Laki 4 Ya Zambia
Na umri ulivyo enda yuko kwa mama Madawa yamempotezea mda sana aiseeYupo kwa mama yke mkuu
Sana madawa n kitu kibaya sanaNa umri ulivyo enda yuko kwa mama Madawa yamempotezea mda sana aisee