Chid benz show

Fraddle b

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
222
Reaction score
20
Kile kipindi cha chid benz show EAST AFRICA TV,Kimeishia wapi? Au mkataba umeisha? Coz naona siku ya alhamisi ambapo ndio kipindi chake kilikuwepo,kimewekwa kipindi kinaitwa mboni,je kuna mwenye info zozote hapa?
 
Eatv imemtema kutokana na uswahili wake..kipindi kina maudhui mazuri lakini alishindwa kukidhi mahitaji..alijisahau akaona kama eatv wanamkera wakati its a reality tv show..wakamtupa kuleee..
 
alijisahau vp,na EATV aliona wanamkera vp? mkuu
 
Kile kipindi cha chid benz show EAST AFRICA TV,Kimeishia wapi? Au mkataba umeisha? Coz naona siku ya alhamisi ambapo ndio kipindi chake kilikuwepo,kimewekwa kipindi kinaitwa mboni,je kuna mwenye info zozote hapa?
Sasa hivi umeshapata jibu i guess!!
 
Kuna picha nimeiona mahali duh cjui nn kilianza kubadilika kiafya ndo wakamtema...????? Au alipotemwa ndo akalostika...??? Au sio chid nnayenfahamu yule jamaa anachana na nilisauti lake
 
Attachments

  • 1458457152385.jpg
    14.6 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…