Chid Benzi aswekwa lupango kwa kumjeruhi mwanamke

Duh Mwanaume na kipini cha puani.....haya bhana lazima tupate mashaka...
 
Bange ni madawa ya kulevya..mxxxxxxx
 
duu kwenye gari ninayo sita na ofisini minne sijui nikaisalimishe au nikajisalimishe?

Mimi bangi labda wananikute na gunia ntashtuka wakianza na neno msokoto hakuna kesi hapo ni kwa matumizi ya kawaida ya Mtanganyika.
 
Mimi bangi labda wananikute na gunia ntashtuka wakianza na neno msokoto hakuna kesi hapo ni kwa matumizi ya kawaida ya Mtanganyika.

Kwetu majani mabichi ya mmea ni mboga pia ni dawa! msokoto pia hujenga kujiamini na kufanya yasiyowezekana
 
Kuna watu wananibishiaaa jamani bangi na madawa ya kulevyaa kipi chenye athari kubwaa??
Mi naona madawa ya kulevyaaa ni hataree kuliko bangiii au nyie mnaonajee!!?
 
Kuna watu wananibishiaaa jamani bangi na madawa ya kulevyaa kipi chenye athari kubwaa??
Mi naona madawa ya kulevyaaa ni hataree kuliko bangiii au nyie mnaonajee!!?

majan ya bange dawa ya tumbo,bange waweza kula kama mboga hahah,bange z best,mie penda bange tena mbichi!
 
Haya ya Ngoswe wachiiwe wakina Ngoswe.
 
A.k.a chuma..kapiga wasanii wenzie kaona haitoshi!kampiga mdada wa watu reception haitamaniki,marinda akupe na bado umpige..
 
Chidi goooo,chidi bange ,chi flow ,chidi ngumi ,chidi madawa,amelaaniwa mwanaume anayempiga mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…