Chidi Benz ampiga Ray C

Chidi Benz ampiga Ray C

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Uonevu! Rapa mwenye ' swagger' za Ja- Rule Bongo, Rashid Makwilo ' Chid Benz' , anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake, Rehema Chalamila ' Ray C ' nyumbani kwake anapoishi na kumtwanga makonde ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo apate msala mwigine wa aina hiyo .

TUJIUNGE NYUMBANI KWA RAY C
Ilidaiwa kuwa tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita nyumbani kwa Ray C , Changanyikeni jijini Dar es Salaam ambapo ilisemekana kwamba Chid Benz alimvamia mishale ya saa 4: 00 usiku kwa gia ya kumsaka mzazi mwenzake aliyemtaja kwa jina moja la Mariam. Mwanaisha aliyepigwa na Chidi Benz hapo awali.

CHID BENZ ATAKA KUMUONA MWANAYE
Ilidaiwa kwamba Chid Benz alisema kuwa alizungumza na mpenziye huyo kwamba alitaka kwenda kumuona mwanaye ambapo Mariam alimjibu kwamba kwa muda huo alikuwa nyumbani kwa Ray C Changanyikeni .

UNGA WATAJWA
Sosi wetu alidai kwamba baada ya kujibiwa hivyo , Chid Benz alianza kulalama na kumwambia anamfuata palepale kwa nini usiku ule alale kwa Ray C , wakati ana uwezo wa kwenda nyumbani au amekwenda kwa staa huyo ili kunywa dawa zao za kuondoa sumu ya madawa ya kulevya ' unga ' , jambo ambalo jamaa huyo siku zote huwa hataki hata kulisikia masikioni mwake . Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C ' .

CHID BENZ AWAVAMIA
"Huwezi kuamini baada ya muda kama wa saa moja , Ray C na Mariam wakiwa ndani wakitazama TV, ghafla mlango ulisukumwa kwa nguvu kisha akaingia Chid Benz na kumdaka Mariam na kuanza kumshushia kipigo ."Yaani huo mshtuko walioupata walidhani wamevamiwa na Al- Shabaab.

KIBAO CHAMGEUKIA RAY C
"Mungu mkubwa kwa sababu Mariam alifanikiwa kuchoropoka na kukimbilia chumbani ndipo kibao kikamgeukia Ray C . "Ray C akiwa anashangaa ghafla naye alipokea kipigo kikali kutoka kwa Chid na kumsababishia majeraha mbalimbali mwilini .

RAY C AKIMBILIA KWA MAJIRANI
"Baada ya kuona maji yanazidi unga , Ray C alitafuta upenyo na kukimbilia kwa majirani huku akipiga kelele za kuvamiwa , mara moja majirani waliambatana naye mpaka nyumbani kwake. "Walipofika Chid Benz alikuwa ametumia staili za kininja kwa kuruka geti na kutokomea kusikojulikana huku akiwaacha Ray C na Mariam wakiangua vilio kwa kipigo kikali walichopokea .

RAY C AVUJA DAMU
"Ray C aliumia mkono na mguu ambao ulionekana ukivuja damu . Mariam alikuwa akililia mbavu zake kuchakazwa kwa makonde mazito na upande mwingine baadhi ya vyombo vya ndani vikionekana kuvunjwa na vingine kusambaratishwa kufuatia tafrani iliyozuka muda mfupi baada ya Chid Benz kutia maguu nyumbani hapo , " chanzo kilishusha madai hayo mazito .

RAY C ATIRIRIKA SAKATA LILIVYOKUWA
Akizungumzia na gazeti hili Alhamisi iliyopita juu ya sakata hilo, Ray C alisimulia mkasa mzima: "Kweli Chid Benz alikuja nyumbani kwangu na kunivamia. "Alinipiga vibaya sana na kuvunja baadhi ya vitu vya ndani kwangu , jambo ambalo lilinishangaza zaidi ni namna alivyopafahamu nyumbani kwangu hadi kuja kunifanyia fujo nikiwa na mzazi mwenzake , Mariam ambaye nilitoka naye ofisini kwangu .

"Ujue jana ( Jumatano ) tulikuwa na kazi sana ofisini kwangu mimi na Mariam , sasa kutokana na kubanwa na kazi kweli muda ulienda sana hivyo nikamwambia Mariam akalale kwangu . "Kwa kuwa muda ule ilikuwa ngumu kwenda kwao Mbezi Beach, Mariam alikubali na tulikwenda wote nyumbani kwangu .

"Huko nyuma Mariam alikuwa mwathirika wa madawa ya kulevya lakini baada ya kusikia mimi nimeacha, naye aliachana nayo na kuanza kutumia dawa za kuondoa sumu. "Tumeendelea kutumia naye dawa na sasa ameshapona kabisa hivyo kuna baadhi ya kazi nimekuwa nikimshirikisha kunisaidia kwenye ofisi yangu.

Pia alishawahi kumshawishi Chid Benz ili aje kutumia dawa lakini jamaa alikataa na kumfanyia vurugu sana huku akimkataza kuwa na mimi kwa madai mimi ndiyo namfanya amwambie kuachana na utumiaji dawa za kulevya. "Sasa jana alipojua hivyo nadhani Chid Benz alikuja kutimiza dhamira yake ambayo siku nyingi alikuwa akiahidi kunipiga ."

SOO LIPO POLISI
Ray C alisema baada ya tukio hilo alikwenda kuripoti kwenye Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Kinondoni na kufunguliwa jalada la kesi ambapo Chid Benz anasakwa na polisi . Juhudi za kumpata Chid Benz hazikuzaa matunda kwani simu yake haikuwa hewani hivyo jitihada zinaendelea na kama ana ufafanuzi au utetezi anaweza kutupigia
.

Uonevu! Rapa mwenye ‘swagger' za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz', anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake, Rehema Chalamila ‘Ray C' nyumbani kwake anapoishi na kumtwanga makonde ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo apate msala mwigine wa aina hiyo.

Rapa mwenye ‘swagger' za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz'.

TUJIUNGE NYUMBANI KWA RAY C Ilidaiwa kuwa tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita nyumbani kwa Ray C, Changanyikeni jijini Dar es Salaam ambapo ilisemekana kwamba Chid Benz alimvamia mishale ya saa 4:00 usiku kwa gia ya kumsaka mzazi mwenzake aliyemtaja kwa jina moja la Mariam.
[
Mwanaisha aliyepigwa na Chidi Benz hapo awali.

CHID BENZ ATAKA KUMUONA MWANAYE Ilidaiwa kwamba Chid Benz alisema kuwa alizungumza na mpenziye huyo kwamba alitaka kwenda kumuona mwanaye ambapo Mariam alimjibu kwamba kwa muda huo alikuwa nyumbani kwa Ray C Changanyikeni.

UNGA WATAJWA, Sosi wetu alidai kwamba baada ya kujibiwa hivyo, Chid Benz alianza kulalama na kumwambia anamfuata palepale kwa nini usiku ule alale kwa Ray C, wakati ana uwezo wa kwenda nyumbani au amekwenda kwa staa huyo ili kunywa dawa zao za kuondoa sumu ya madawa ya kulevya ‘unga', jambo ambalo jamaa huyo siku zote huwa hataki hata kulisikia masikioni mwake.

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C'.

CHID BENZ AWAVAMIA "Huwezi kuamini baada ya muda kama wa saa moja, Ray C na Mariam wakiwa ndani wakitazama TV, ghafla mlango ulisukumwa kwa nguvu kisha akaingia Chid Benz na kumdaka Mariam na kuanza kumshushia kipigo."Yaani huo mshtuko walioupata walidhani wamevamiwa na Al-Shabaab.

KIBAO CHAMGEUKIA RAY C "Mungu mkubwa kwa sababu Mariam alifanikiwa kuchoropoka na kukimbilia chumbani ndipo kibao kikamgeukia Ray C.

IMG20140710WA0003.jpg


Sehemu ya damu chumbani kwa Ray C kutokana na kipigo cha Chidi Benz..
"Ray C akiwa anashangaa ghafla naye alipokea kipigo kikali kutoka kwa Chid na kumsababishia majeraha mbalimbali mwilini.

RAY C AKIMBILIA KWA MAJIRANI "Baada ya kuona maji yanazidi unga, Ray C alitafuta upenyo na kukimbilia kwa majirani huku akipiga kelele za kuvamiwa, mara moja majirani waliambatana naye mpaka nyumbani kwake.

"Walipofika Chid Benz alikuwa ametumia staili za kininja kwa kuruka geti na kutokomea kusikojulikana huku akiwaacha Ray C na Mariam wakiangua vilio kwa kipigo kikali walichopokea.

RAY C AVUJA DAMU "Ray C aliumia mkono na mguu ambao ulionekana ukivuja damu. Mariam alikuwa akililia mbavu zake kuchakazwa kwa makonde mazito na upande mwingine baadhi ya vyombo vya ndani vikionekana kuvunjwa na vingine kusambaratishwa kufuatia tafrani iliyozuka muda mfupi baada ya Chid Benz kutia maguu nyumbani hapo," chanzo kilishusha madai hayo mazito.

RAY C ATIRIRIKA SAKATA LILIVYOKUWA Akizungumzia na gazeti hili Alhamisi iliyopita juu ya sakata hilo, Ray C alisimulia mkasa mzima: "Kweli Chid Benz alikuja nyumbani kwangu na kunivamia.

Alinipiga vibaya sana na kuvunja baadhi ya vitu vya ndani kwangu, jambo ambalo lilinishangaza zaidi ni namna alivyopafahamu nyumbani kwangu hadi kuja kunifanyia fujo nikiwa na mzazi mwenzake, Mariam ambaye nilitoka naye ofisini kwangu.

Ujue jana (Jumatano) tulikuwa na kazi sana ofisini kwangu mimi na Mariam, sasa kutokana na kubanwa na kazi kweli muda ulienda sana hivyo nikamwambia Mariam akalale kwangu. "Kwa kuwa muda ule ilikuwa ngumu kwenda kwao Mbezi Beach, Mariam alikubali na tulikwenda wote nyumbani kwangu.

Huko nyuma Mariam alikuwa mwathirika wa madawa ya kulevya lakini baada ya kusikia mimi nimeacha, naye aliachana nayo na kuanza kutumia dawa za kuondoa sumu.

Tumeendelea kutumia naye dawa na sasa ameshapona kabisa hivyo kuna baadhi ya kazi nimekuwa nikimshirikisha kunisaidia kwenye ofisi yangu.

Pia alishawahi kumshawishi Chid Benz ili aje kutumia dawa lakini jamaa alikataa na kumfanyia vurugu sana huku akimkataza kuwa na mimi kwa madai mimi ndiyo namfanya amwambie kuachana na utumiaji dawa za kulevya.


Sasa jana alipojua hivyo nadhani Chid Benz alikuja kutimiza dhamira yake ambayo siku nyingi alikuwa akiahidi kunipiga."

SOO LIPO POLISI, Ray C alisema baada ya tukio hilo alikwenda kuripoti kwenye Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Kinondoni na kufunguliwa jalada la kesi ambapo Chid Benz anasakwa na polisi.

Juhudi za kumpata Chid Benz hazikuzaa matunda kwani simu yake haikuwa hewani hivyo jitihada zinaendelea na kama ana ufafanuzi au utetezi anaweza kutupigia.

CHID BENZ NI TATIZO
? Chid Benz anadaiwa kuwa ni tatizo kwani tukio hilo la Ray C amelifanya wakati akiwa na tukio la pili kwa wanawake kwani kwenye Mahakama ya Mwanzo, Ilala ana kesi mbichi aliyoshitakiwa kwa kosa la kumpiga mrembo aitwaye Mwanaisha.

Mbali matukio hayo pia Chid Benz ana rekodi ya kukorofishana na wasanii wenzake kama Kalapina na marehemu Ngwea.
 
Muda mwingine mateja ni wa kuwaonea huruma tu,akili zinawaruka muda mwingi.
 
yani unacheka hukwenda hata kutoa msaada kwa jirani wewe umejitulizia jf tu, zingekuwa kelele zake za honi ya Noah ungemsikia.

hahahaha matola nacheka utadhani mazuri.... kwa jirani alikokimbilia ndio ninakokaa
 
ugomvi wa mateja huo msuluhishi pusher.

Kesi yao tata kweli wote MATEJA mbona patamu, apa nimewasikiliza Ugomvi wao nilivyoona na huyo mariam nae ni addicted na madawa nikasema bas tena hii kesi wanajuana wenyew hawa, hakuna wa kumtetea apa.
 
chidi ni mchokozi sana..... unga anaovuta unampeleka pabaya

Yan apa kesi yao ni kama umeenda sehemu ukakuta machizi wawili wanapigana, mtu hata huwez kujua nani mkorofi, huyo Ray c nae si baloz wa madawa ya kulevya? Sasa kuendelea urafik na mateja ndo nn au ndo anawapa ushaur waache, mmh huy tayr kashakuwa addicted milele
 
Yan apa kesi yao ni kama umeenda sehemu ukakuta machizi wawili wanapigana, mtu hata huwez kujua nani mkorofi, huyo Ray c nae si baloz wa madawa ya kulevya? Sasa kuendelea urafik na mateja ndo nn au ndo anawapa ushaur waache, mmh huy tayr kashakuwa addicted milele

hahaha Chidi ni mchokozi kilichomtoa kwake usiku kuja kufanya fujo ni nini na kushusha kile kipondo heavy weight.... katoka Ilala hadi Changanyikeni. ...
 
Yan apa kesi yao ni kama umeenda sehemu ukakuta machizi wawili wanapigana, mtu hata huwez kujua nani mkorofi, huyo Ray c nae si baloz wa madawa ya kulevya? Sasa kuendelea urafik na mateja ndo nn au ndo anawapa ushaur waache, mmh huy tayr kashakuwa addicted milele

Kashaacha....anawasaidia wenzie waache pia....chidi ni tatizo
 
Muda mwingine mateja ni wa kuwaonea huruma tu,akili zinawaruka muda mwingi.

Kesi yao inahitaj mwanasheria wa hali ya juu, maana mhh mpaka nimecheka aiseh, mi apo hata simuamin mtu, watakuwa wamedhulumiana kete tu hao hawana lolote, yani rehema huyu nyie na ruge nae anamuangalia tu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kesi yao inahitaj mwanasheria wa hali ya juu, maana mhh mpaka nimecheka aiseh, mi apo hata simuamin mtu, watakuwa wamedhulumiana kete tu hao hawana lolote, yani rehema huyu nyie na ruge nae anamuangalia tu

Maana Chid anasema ameacha unga ila nahisi hajaacha ila amepunguza dose na ile tiba yao huwafanya wapunguze dozi mwishowe mpaka wanaacha.
 
yani unacheka hukwenda hata kutoa msaada kwa jirani wewe umejitulizia jf tu, zingekuwa kelele zake za honi ya Noah ungemsikia.

Ahahahahha ahahaha , honi na mlio wa kuchwi kuchwi rehema katishaaa
 
hahahaha matola nacheka utadhani mazuri.... kwa jirani alikokimbilia unadhani ni wapi.......

Mmh masikini , dada rehema mwenyewe kakimbilia kwa jiran akijua yupo salama kumbe jiran mbaya kuliko hata chid aliyempa makonde, jaman apa nacheka hatar, mmh majiran mmetisha
 
Back
Top Bottom