Chidi Benz atoroka sober house, yadaiwa alikaa siku 28 tu

Watu waliokua wajanjanja kipindi kile me nasoma nawatamania maisha yao ndo wamekua wateja
 
Acha kabisa ile kitu,nadhani shetani mwenyewe ndio chief maker...afu kinachoshangaza eti Guzman nae ana mawakili wanaomtetea,sheria kitu cha ajabu sana.





Hahahahaha unamvunjia heshima mastermind muite El Chapo
 
Ni hatua ya kawaida kabisa kwa watumiaji wa dawa za kulevya wanapokuwa kwny matibabu si ajabu hata akirudia tena kuvuta, ndio kipindi ambacho anatakiwa kusaidiwa kwa karibu sana tusimlaumu.
 
•WHY OPENLY CHEATS /
*****
CHID BENZ AMERYHUSIWA KUONDOKA SOBER HOUSE, NA YUPO MAZOEZINI AKIJARI KUTOA VIBAO VYAKE VIPYA VIWILI./
•TENDS TO VERIFY ANY INFOS...
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja.hata Iweje chidi hakutakiwa kutolewa kule.For him to be in sober house is the most important thing at least for now.
 
Kwanza inakuaje anaweza kutoroka? Mi nilijua wako wasimamiwa wasitoroke 24/7.kwasababu zile siku za mwanzo wanakua bado hawajikubali. Hicho kituo nacho kizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…