Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

Chiddy hampendi Harmonize. Hajawahi kumuongelea vizuri. Hata kabla ya show, alishasema kwanini wanamtangaza atakuwepo wakati hajawahi kuongea nao chochote?

Anamtazama kama dogo asiye na shukrani baada ya kuachana na WCB kwa kulaghaiwa na Clouds Media. Hana mzuka nae.

Ni dhahiri kwenye show hii Harmo alimuhitaji zaidi Chiddy kuliko kinyume chake.

Tujifunze kubalansi shobo!
 
Ila kamu outsmart sana dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo na chid , harmonize anataka kufanya mambo makubwa Ila uwezo Hana , huwez kumlipa chid 300k, na ndio mana chid kaperform dk 10 Sawa Sawa na hela iliyotolewa , harmonize sio msanii mkubwa kama anavyotuaminisha aende step by step , show kama hyo Mond anamlipa chid 1.5 mil Kwa performance ya nusu saa...

Harmo anatembelea nyota ya WCB , wanaomsapoti ni Kwa sababu wanamchukia Mond na sio kwamba amewakuna Kwa uwezo wake , bado jina la Diamond Platnumz ndo linalombeba konde boy ...
Kibaya Zaid anajarbu kulazimisha kufanya mambo Kwa level Sawa na Mond ili aonekane naye ni msanii mkubwa Sawa na Mond....
 
Angekuwa kwa mapusha wenzie angeingiza hiyo laki 3? Baada ya hapo kaingiza kiasi gani? Binadamu hawana shukrani
 
Kwa chid anastaili lkn kipaji chake hakistahili hiyo hela

Sent from my I phone
Angebaki home angeiingiza pesa hiyo kwa muda aliofanya kazi? Baada ya kupata pesa hiyo kapiga show gani tena?
 
Unajua Show ilikuwa ya nani hiyo? Na kina nani walikuwa waalikwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…