Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

Ni kweli bei show ni siri kutokana na makubaliano,maana kutaja bei pia nikujishusha hadhi kama ni bei ndogo
Wakuu wanajihalibia hata siku nyingine watu watashindwa kumpa hata hiyo laki3 kwa show kwa kuogopa kusemwa stejini nguri huyo [emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…