Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Diamond alifanya kama msaada amrudishe kwenye game yeye analeta ujuaji . Kama aliingiza chorus kwanini asingefuatilia mambo yaliyobaki kama video etc..Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio kwa S2kizzy.
DIamond amrudishe vipi chidi benz kwenye game asiyoijua, huyo jamaa yako hakufanya fair amekosa heshima kamchukulia Chid hatofanya lolote kwa kuwa jamaa majalala!Diamond alifanya kama msaada amrudishe kwenye game yeye analeta ujuaji . Kama aliingiza chorus kwanini asingefuatilia mambo yaliyobaki kama video etc..
Na kwanini presenters hawajambana vizuri na maswali pia
Yani huyo MLEVI na yule mpumbavu mwenzie wa siamini...wangetupwa jela tu sanaa itulie.DIamond amrudishe vipi chidi benz kwenye game asiyoijua, huyo jamaa yako hakufanya fair amekosa heshima kamchukulia Chid hatofanya lolote kwa kuwa jamaa majalala!
Kwanini sababu ni zipi za kuwatupa jela?Yani huyo MLEVI na yule mpumbavu mwenzie wa siamini...wangetupwa jela tu sanaa itulie.