Chidi Benzi Achefua Mashabiki kwa Kuvuta Bangi Jukwaani

Chidi Benzi Achefua Mashabiki kwa Kuvuta Bangi Jukwaani

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga... Pembeni ni Baunsa akimwomba akiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Chini benz Juzi Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi.

wakati akiwa anafanya Show Katikati ya baada ya mzuka kumpanda Chid alichafua hali ya hewa baada ya kuzama mfukoni na kutoka Bonge la kipisi cha Bangi kilichoshiba na kukiwasha pale pale jukwaani bila hata Uwoga... Hapo ndipo Baunsa wa Maisha kabla akambadilikia kama Mbogo na kumpora hiyo bangi ili asiendelee kuivuta. Kitendo hicho cha kuvuta bangi Club kimeshushia heshima Msanii huyo ambaye ni kioo cha Jamii​
 
Huyo heshima ilishashuka baada ya kutoboa pua na kuvaa kipini.!!
 
Huyo heshima ilishashuka baada ya kutoboa pua na kuvaa kipini.!!
ch.jpg
 
Jamaa alikuwa juu kimuziki,akajishusha mwenyewe kwa vitendo vyake vya hovyo...
 
Mbona huyu ni nyoka kitambo yani anabwia vumbi
 
Hao mapromota bora wangepeleka kwaya, sasa huyu aliimba nini hapo?

Halafu unategemea mtu kama huyu akawakilishe tanzania duniani
 
Huyu madawa ya kulevya yatamuua kabisa muda si mrefu gari litawaka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Msishangae,,,kwani hamuoni kavaa t shirt rangi gani.??za wake wake wazee WA tembo,,,ndio akili zao hizooooo.
 
kushney then tupa kule...kila kukicha kuna new face na zina take over wao wanazidi kupotea kabisa ktk tasnia hii ya ubongo flava.
 
Back
Top Bottom