Chidimma kushiriki Mashindano ya Miss Universe Nigeria 2024

Chidimma kushiriki Mashindano ya Miss Universe Nigeria 2024

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
UPDATE: Chidimma Adetshina ametangazwa Mshindi wa michuano ya Miss Universe Nigeria na hivyo ataiwakilisha Nchi hiyo katika mashindano ya Kimataifa ya Miss Universe huko Mexico, Novemba 2024

Ushindi huo ni baada ya kujitoa katika Mashindano ya MissSouthAfrica ambapo alikutana na shinikizo baada ya kudaiwa kuwa na Uraia wenye Utata, Waafrika Kusini walidai kuwa hawataki kuwakilishwa na 'Mgeni'

Mgogoro huo uliibua upya Mjadala wa chuki dhidi ya wageni (xenophobia) wanayokumbana nayo Waafrika waishio Afrika Kusini, hali ambayo wakati mwingine imepelekea ghasia na mashambulizi dhidi ya biashara za raia wa Kigeni nchini humo

1723703790946.png


Chidimma Adetshina (23) alilazimika kujiondoa katika Mashindano ya Miss South Africa Agosti 9, 2024 baada ya sakata la uraia wake.

Kupitia akaunti yake ya Instagram ametangaza kuwa anatarajia kushiriki katika Mashindano ya Miss Universe Nigeria 2024

Soma Pia:
Aidha iendapo Chidimma atashinda Miss Universe Nigeria ataiwakilisha nchi hiyo katika mashindano ya kifahari ya Miss Universe Novemba 2024.

==========For English Audience==========​
Woman switches to Miss Universe Nigeria after Miss South Africa row

Chidimma Adetshina, the pageant hopeful who was forced to withdraw from Miss South Africa due to a nationality row, has accepted an invitation to participate in Miss Universe Nigeria.

"I'm looking forward to participating in Africa's most prestigious beauty pageant," the 23-year-old said in a video posted to her Instagram account with a beaming smile on her face.

Ms Adetshina contested in this year's Miss South Africa but pulled out after she found herself the target of a xenophobic backlash.
Despite being a South African citizen, people questioned her eligibility because her father is Nigerian and her mother has Mozambican roots.

The Home Affairs department investigated her at the behest of the Miss South Africa organisers and said Ms Adetshina's mother may have committed "identity fraud" to get South African nationality.

After this, Ms Adetshina made the "difficult decision" to leave the competition for her family's safety and well-being last Thursday.
Following that, Miss Universe Nigeria extended an invitation and asked Ms Adetshina to compete as they said her "journey in the world of pageantry is far from over".

It added that Ms Adetshina would be able to "represent her father's native land on the international stage".
It is unclear if Ms Adetshina has Nigerian nationality.

The winner of Miss Universe Nigeria will represent the country at the prestigious Miss Universe competition.
South Africa's Home Affairs department is still conducting further investigations with the aim of pressing criminal charges, while also obtaining legal advice "on the implications of the alleged fraudulent activity on Adetshina's citizenship status".

The Miss South Africa competition took place last Saturday. Mia le Roux won the pageant becoming the first deaf woman in history to clinch the crown.

If Miss Adetshina wins Miss Universe Nigeria, she will face off against Miss Le Roux at Miss Universe in November.

SOURCE: BBC
 
Kaamua akubaliane kuwa yeye sio msouth Africa ni Mnigeria. Urembo ndiyo career yake asiangalie ana 23 anaweza kushinda na akafika mbdli
 
Ameshinda na ataiwakilisha Nigeria,huyu dada ni mzuri sana,south Africa ubaguzi wao unewaponza,namtabiria kushika nafasi za juu sana kwenye miss universe...
 
Back
Top Bottom