georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
MziziMkavu kumbe uko Iceland?Mkuu GAZETI ningelikuwa huko Afrika ningeliwafanyia wagonjwa wa Malaria lakini nipo huku hakuna Mdudu anayeitwa Mbu kuna baridi kali hata huyo Mbu akiwepo atakufa kwa baridi asante sana.
Mkuu georgeallen Mkuu mimi sipo Iceland nipo katikati ya Europe karibu na Austria sikwambii wapi siri yangu mkuu samahani. Huko Iceland kuna tisha wakati huu ni baridi sana hakukaliki hata kidogo hata unipe Dola millioni moja useme niende kuishi huko sitaweza unaweza kufa huko si unajuwa sisi tunaotoka Afrika? hatuwezi kuvumilia baridi?MziziMkavu kumbe uko Iceland?
Mkuu nilishindwa kutoa maelezo ya kina nilitaka kidogo nionehahahaaha mkuu umenikumbusha mbali sana! nakumbuka babu &bibi(RIP) enzi hizoo walikua wanaitumia sana,wanachanganya na majani ya mpapai nadhani.Chidudu ni kiboko acheni tu.
Mkuu nilishindwa kutoa maelezo ya kina nilitaka kidogo nione
kama kuna watu wanaifahamu hii dawa ndio ningeeleza kwa
kina, Hakuna dawa bora kama Chidudu mara ya Mwisho niliona
ikifanyika mwaka 1989, nashangaa watu wameendelea kung'ang'ania
SP ambazo zinawatesa, Yaani hii dawa inatibu ndani ya masaa 12 tu,
maleria inakuwa imekwisha kabisa.
Ngoja aje MziziMkavu aone ushuhuda hapa.
Hii inaitwa Hot water enema. Tumia distilled water -ndiyo nzuri zaidi. Pia, badala ya kutumia keni, kanunue enema bottle kwenye pharmacy
Mzee Gazeti , hii unayoiita chidudu siyo dawa ya malaria per se. Kwa mtumiaji wa chidudu, Malaria na magonjwa mengine yanapona tu kwa sababu mwili umeondolewa sumu (Toxins) kwa kutumia hiyo chidudu. Toxins zinaufanya mwili usiweza kupambana na magonjwa na au vimelea wa magonjwa.Kweli mkuu mwaka 86 mpaka 88 niliona yakitumika hayo mabomba
ila mara ya mwisho ambayo ni 88 ndo ilitumika hiyo 'Keni'.
Nashukuru kwa ufafanuzi wa kitaalamu mkuu, ingawa wengi wameonekanaMzee Gazeti , hii unayoiita chidudu siyo dawa ya malaria per se. Kwa mtumiaji wa chidudu, Malaria na magonjwa mengine yanapona tu kwa sababu mwili umeondolewa sumu (Toxins) kwa kutumia hiyo chidudu. Toxins zinaufanya mwili usiweza kupambana na magonjwa na au vimelea wa magonjwa.