Chidy benz amwaga radhi

KAUAAAA KABISAAA MPWAAA
 
Chidi bana....sasa amewachana watampa show kweli?
 
Kakamatwa Dodoma na kete za madawa na bange, wakati akijiandaa kufanya show Dom. Alikamatwa uwanja wa ndege na kete pamoja bange mpaka msala ulitaka umdondokee Shetta. Sasa yy mwenyewe haoni kama akipewa show atawapa tabu wenzake, manake yeye starter yake mpaka ajidunge ndio aimbe, bora walivyomuacha.
 
Anaongea kitejateja. Mateja wanachonga balaa, ndio maana kazi ya kupiga debe inawafaa.
 
Hahahaha...

Chidi bwana... Eti Konki Konki konki,Nyege ,nyege ,nyege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…