Huyu Bwana Mwita Muhochi ni mtu wa rushwa na hana msaada kabisa kwa wakandarasi. Ni mnyanyasaji na hana roho ya utu. Yeye anadhani yupo ofisini kwa ajili ya tumbo lake na si kuhudumia umma wa Watanzania. Ninakushauri utumie vyombo vya usalama na vya kiuchunguzi kumchunguza mtu huyu.
Hakika utanishukuru, kwani yeye ni miongoni mwa watu wanaorudisha nyuma kazi, na kazi zake huishia kwenye migogoro tu na wakandarasi. Vyombo vya usalama na uchunguzi viwafuate wakandarasi wote waliopo site Wilaya ya Busega kwa sasa, waulize namna anavyowanyanyasa na kuwalazimisha wampe rushwa.
Mimi wakifika, nitawaambia ukweli mpaka ushahidi nitautoa. Imefika hatua kamtaka mkandarasi ampe asilimia tano ya malipo ya mkataba wake kama rushwa, na mkandarasi kamwambia "fanya wewe kazi hii, halafu mimi unipe hiyo asilimia tano." Mpaka sasa, mkandarasi hajalipwa, anazungushwa tu.