Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Aug 25, 2011 #21 Ally wa Kitaa said: Hivi huyu jamaa anataka alindwe mpaka lini wakati keshastaafu? Kumpa ulinzi wakati keshastaafu ni utumiaji mbaya wa rasilimali chache za wananchi walipa kodi. Mimi naunga mkono uamuzi wa serikali kwenye hilo. Click to expand... Mbona EL analipwa na alijiuzulu na analindwa? Wacha hiyo maneneo bana. Magamba ni ni mabaya sana especially usipokuwa upande wao sana.
Ally wa Kitaa said: Hivi huyu jamaa anataka alindwe mpaka lini wakati keshastaafu? Kumpa ulinzi wakati keshastaafu ni utumiaji mbaya wa rasilimali chache za wananchi walipa kodi. Mimi naunga mkono uamuzi wa serikali kwenye hilo. Click to expand... Mbona EL analipwa na alijiuzulu na analindwa? Wacha hiyo maneneo bana. Magamba ni ni mabaya sana especially usipokuwa upande wao sana.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Aug 25, 2011 #22 mgafilika said: Mbona EL analipwa na alijiuzulu na analindwa? Wacha hiyo maneneo bana. Magamba ni ni mabaya sana especially usipokuwa upande wao sana. Click to expand... Na unaona huyo EL anastahili yote hayo?
mgafilika said: Mbona EL analipwa na alijiuzulu na analindwa? Wacha hiyo maneneo bana. Magamba ni ni mabaya sana especially usipokuwa upande wao sana. Click to expand... Na unaona huyo EL anastahili yote hayo?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 26, 2011 #23 Alindwe kwa sababu gani?Ukistaafu ishi maisha ya kistaafu.Period.