kwa hiyo swali langu yeye anatoa tu na kuwafadhili ha gain chochote??chief kiumbe full bosse,naona amewekeza hadi kwenye mgari ya mchanga,mbona hata qchief prof jay ashawahi kuwafadhiri na pia ana kampuni ya shooting inaitwa KIUMBE ni mdau wa mziki mda mrefu nahisi anawasaidia na si kama hawa mapedeshee wengine wezi(musofe,muzamir,jack unguja,ndama,kizaizai supa tol etc)