Watalaam, nimemtaja Chief Mkwawa sababu alinisaidia kupata Amazone fire Stick.
Sasa nina mdogo wangu anataka kuninulia mida hii Roku au Chrome cast UK, Manchester yaani nitayochagua. Imebidi niulize wadau kama mwenye ufahamu wa hivyo vifaa anipe elimu.
TV yangu 55" sio smart tv, hivyo Amazon fire stick inasaidia ila bwana mdogo anataka aniongezee hivyo vifaa.
Nawasilisha