BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Waanze kutafuta mchezaji mwingine wa kuhama naye timu maana ronaldo ndo kasha kuwa babu kwisha habari yake
Babu but mfalme wa mpira duniani ok my brother be careful with your heart ok Cr7.Bora ya Higuain kuliko huyu babu, ameenda kuiharibu timu.
Watu mna matusi ya nguoni asee kwaio jamaa mviziaji ππππCr7 akiwa man u alifanya makubwa kwenye klabu
Pia alikuwa moto sana sio huyu sa sa mviziaji
Hivo alikaa kwenye damu za mashabiki wa The red devils
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, mi ni shabiki kindakindaki wa CR7 ila sijawahi na sitawahi kuishabikia Man UMimi sio shabiki wa mpira lakini nimegundua kwamba mashabiki wengi wa Ronaldo wengi wao ni mashabiki pia wa Manchester United. Hii imetokeaje?
Mfalme ni mmoja tu duniani...King MESSIBabu but mfalme wa mpira duniani ok my brother be careful with your heart ok Cr7.
No,Ni king RONALDO {Cr7}#forever.ok be careful with your heart black tigerMfalme ni mmoja tu duniani...King MESSI
No,Ni king RONALDO {Cr7}#forever.ok be careful with your heart black tiger
ALIKUWA MCHEZAJI WAO NA ALIWAFANYIA MAMBO MENGI SANA,ILA NI KWELI PIA ANA MAFANIKIO MENGI KUZIDI MESSILakini nime - Declare mapema kwamba si shabiki wa mpira kwa ivo kuuliza si ujinga!! Kwani ilitokeaje mashabiki wengi wa Manchester United ndiyo wakawa pia mashabiki wa Ronaldo?
FactALIKUWA MCHEZAJI WAO NA ALIWAFANYIA MAMBO MENGI SANA,ILA NI KWELI PIA ANA MAFANIKIO MENGI KUZIDI MESSI