johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwana Yesu alisema 'siku zinazokaribia mwisho kutaibuka watu wa aina aina na wengine watatumia jina langu nao watawapotosha watu wengi hata walio wema'. Take care!Mwenyekiti wa machifu wa Wasukuma Chifu Butale yuko mubashara Star tv akitolea ufafanuzi mjadala uliopamba moto nchini wa nafasi ya chifu katika taifa...