johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu dogo kaniuliza swali tata sana
Kwamba baada ya kujinyonga ndipo mjerumani akatenganisha kichwa na mwili kisha kichwa wakakipeleka Ujerumani
Ngoja nitafakari kabla ya Kujibu!
Kwamba baada ya kujinyonga ndipo mjerumani akatenganisha kichwa na mwili kisha kichwa wakakipeleka Ujerumani
Ngoja nitafakari kabla ya Kujibu!