J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 26, 2022 #1 Huyu dogo kaniuliza swali tata sana Kwamba baada ya kujinyonga ndipo mjerumani akatenganisha kichwa na mwili kisha kichwa wakakipeleka Ujerumani Ngoja nitafakari kabla ya Kujibu!
Huyu dogo kaniuliza swali tata sana Kwamba baada ya kujinyonga ndipo mjerumani akatenganisha kichwa na mwili kisha kichwa wakakipeleka Ujerumani Ngoja nitafakari kabla ya Kujibu!
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 26, 2022 #2 Nilienda Kalenga, kwenye ile fuvu lake, unakuta kuna risasi au kovu la risasi kwenye fuvu. Usikute alipigwa shaba.
Nilienda Kalenga, kwenye ile fuvu lake, unakuta kuna risasi au kovu la risasi kwenye fuvu. Usikute alipigwa shaba.