Najaribu kukumbuka mahali ambapo Nyerere alikuwa anakubali kuvikwa mavazi haya ya uchifu, inawezekana ilikuwepo lakini nimetafuta sana picha sijaziona.
Mwanakijiji,
nadhani haina shida yoyote hicho cheo, ni masifa tu ambayo kimsingi ni 'unafiki' tu, nina uhakika hao wanyakyusa hawamaanishi wanachosema kwa kumpa JK uchifu huo.
Mwanakijiji,
kwanza hilo jina, spelling zake ni MWANKUPILI, ile baada ya 'n' ni 'k' sio 'g', ndivyo linavyoandikwa kule Kyela.
Pili, nadhani haina shida yoyote hicho cheo, ni masifa tu ambayo kimsingi ni 'unafiki' tu, nina uhakika hao wanyakyusa hawamaanishi wanachosema kwa kumpa JK uchifu huo. Tena hatokani na nasaba ya chifu Mwankupili, kwa ujumla hakuna alichopewa.
Tatu, msishangae sasa hivi kwani bado hajapewa 'vyeo' vyote ambavyo 'lobbyists' huwapa watawala. Bado hajapewa degree za heshima, ukaazi wa heshima, kuwa 'mwanaukoo' (ati hata Mkapa ni 'mwanaukoo' wa Nyerere, na kwenye urithi alipewa ng'ombe!), na mengine mengi!
Mwacheni Chifu Mwankupili II afurahie 'title' yake mpya, bado nyingine zinakuja!

Kwa hiyo Wanyakyusa (akina Mtanzania) wamekubali Mwangupuli (Kikwete) kuwa Chifu wao!!!!............my God!........i don't want to believe this......kwi kwi kwi kwi kwi
Ohooo, ina maana rais wetu amevikwa kilemba cha ukoka?
Ndiyo maana yake! Kwani mnyakyusa huyu? Tambiko lake analijua?
Watu wa ajabu nyie. Dawa mnapeleka Malawi, halafu nyie mnakwenda Rungwe kutibiwa. Kweli ujanja mwingi huondoa maarufu.
Kikao cha Bunge kilichopita Spika Sitta alimtambulisha rasmi Bungeni mlithi wa Marehemu Fundikira "chifu" Msagata Ngulati Fundikira.
Je nae kavunja katiba?
Kikao cha Bunge kilichopita Spika Sitta alimtambulisha rasmi Bungeni mlithi wa Marehemu Fundikira "chifu" Msagata Ngulati Fundikira.
Je nae kavunja katiba?
This is rubbish.. hii ni honorific title.. hamna sheria iliyotungwa kumpa cheo chochote.. (not by and Act of Parliament).. It is not hereditary... and has no legal basis.. since the Constitution is a legal document... havina uhusiano...
3) Raia yoyote wa Jamhuri ya Muungano hatakuwa na haki,
hadhi au cheo maalum kwa misingi ya nasaba, jadi au urithiwake.