Hao ndugu zangu walikuwa na tatizo la kuficha kabila lao nyuma ya unyakyusa.
Kwa historia mubashara, hao ndio wenye mkoa wa Mbeya, na jina mbeya likiwa na maana ya CHUMVI kutoka kwenye lugha hiyo kwa kadiri ya nikumbukavyo.
Prof. Tolly Mbwete ni mmoja wa kabila hilo, majina kama Gonde, Gondwe, Mwashinga, n.k

Ni Wanyakyusa ndiyo wanalazimisha kusema Wasafwa na wao ni watu wamoja, kitu ambacho siyo kweliHao ndugu zangu walikuwa na tatizo la kuficha kabila lao nyuma ya unyakyusa.
Hawa ndio machifu waliokuwa machawa wa ukoloni ndio maana hawako kwenye mitaala......HUYU NDIYE CHIFU WA KABILA LA WASAFWA MBEYA, CHIFU ROCKET MWASHINGA
Wasafwa ni kabila kutoka eneo la milima ya mkoa wa Mbeya, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000 [1]. Wako hasa katika wilaya za Mbeya vijijini,[Mbeya mjini] Mbozi na Chunya Lugha yao ni Kisafwa.
- Matambiko, ngoma, elimu ya kitamaduni
- Maono , kuenzi , kukuza mila na desturi nzuri katika jamii
- Historia ya machifu waliopita
- tukumbuke tulikotoka asili za kiafrika, tamaduni na mabaraza ya wazee
Source: MichuziTV
Mkuu, we ni msafwa wa maeneo gani?Ni Wanyakyusa ndiyo wanalazimisha kusema Wasafwa na wao ni watu wamoja, kitu ambacho siyo kweli
Msafwa ana sababu gani ya kujificha nyuma ya Wanyakyusa?
Msafwa wa Mbeya, Mwanjelwa na Mporoto na DarMkuu, we ni msafwa wa maeneo gani?